Friday, October 25, 2013

JUMUIYA YA WATANZANIA MEW YORK MNATANGAZIWA KUWA KUTAKUWA NA MKUTANO JUMAPILI TAREHE 3 MWEZI WA 11 KUANZIA SAA 11 NA NUSU JIONI.WOTE MNAKARIBISHWA



Wanajumuiya wa New York na vitongoji vyake

Kutakuwa na Mkutano wa Jumuiya yetu siku ya Jumapili tarehe 3 Novemba 2013 kuanzia saa kumi na moja na nusu jioni. Tafadhari iweke tarehe hii kwenye kumbukumbu zako na unaombwa kuhudhuria mkutano huu ili kuweza kujua mwenendo wa jumuiya yetu na ili tuweze kupata maoni yako na vile vile ili tuweze kuboresha shughuli zetu za Jumuiya. Mkutano huu utafanyika 
Harlem
 (Address: 
2031 Adam Clayton Powell Blvd.
 (7th Ave. Between 121st and 122nd)
 just a few short blocks from Harlem’s World famous Apollo Theater. Maelezo zaidi yatafuata siku za usoni. Tunaomba mjiandae kwa siku hiyo. Na tunawaomba tusichelewe. Asanteni.

xxxx

Dear Community Members,

Our next Community meeting will be on 3rd November 2013 at 5:30 pm. Venue: 2031 Adam Clayton Powell Blvd. (7th Ave. Between 121st and 122nd) just a few short blocks from Harlem’s World famous Apollo Theater. We will send more details of the meeting later. Please, come earlier so we can start on time. See you there and thank you for now.

Deogratius Mhella
The Executive Secretary
New York Tanzanian Community
c/o Tanzania Mission to the UN
201 East 42nd. Suite # 425
New York, NY 10017

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake