Friday, October 25, 2013

maandalizi ya jukwaa la serengeti fiesta 2013 viwanja vya leaders club

Pichani ni sehemu ya maandalizi ya jukwaa la kisasa kabisa la Serengeti Fiesta 2013 ndani ya viwanja vya Leaders Club,Kinondoni jijini Dar,tamasha hilo ambalo litawajumuisha wasanii wa muziki wa kizazi kipya zaidi ya 50 wakiwemo na wageni kutoka nchini Nigeria linatarajiwa kufanyika kesho jumamosi ndani ya viwanja vya liders club,ambapo kiiingilio kimepangwa kuwa ni shilingi 10,000 na 15,000 kwa mtu mmoja.
Picha na Michuzi 

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake