Friday, October 25, 2013

MABADILIKO YA MAHALI PAKUFANYIA HARAMBEE(FUNDRAISING) YA MSIBA WA "BI MARTHA SHANI" NI JUMAMOSI OCTOBER 26 WASHINGTON (DMV)

                                                      Marehemu Bi Martha Shani (1976-2013)
KAMATI YA MAZISHI INAPENDA KUWATANGAZIA WATANZANIA WOTE SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 26 OCTOBER 2013 KUANZIA SAA NANE MCHANA,KUTAKUWA NA HARAMBEE  (FUNDRAISING)  KWA AJILI YA KUCHANGIA FEDHA ZA KUWEZESHA KUSAFIRISHA MWILI WA DADA YETU MARTHA SHANI NA FAMILIA YAKE KUELEKEA NYUMBANI TANZANIA.

HARAMBEE HIYO ITAFANYIKA


KEMP MILL ESTATE LOCAL PARK

120 CLAYBROOK DR
WHEATON.MD.20906


KUFIKA KWAKO NDIYO MAFANIKIO YAKUWEZESHA KUUSAFIRISHA MWILI WA DADA YETU KWENDA NYUMBANI TANZANIA KWA AJILI YA MAPUMZIKO YA MILELE.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake