Profesa Shirley Walters, Mkurugenzi wa Idara ya Elimu ya masafa marefu katika Chuo Kikuu cha Western Cape Afrika kusini akimkabidhi Meya Jerry Silaa notebook ya maadhimisho ya miaka kumi ya mihadhara ya Mwalimu Nyerere inayofanyika kila mwaka chuoni hapo.
Meya wa Manispaa ya Ilala, Ndugu Jerry Silaa akizungumzia kampeni yake ya Mayor’s Ball ‘Dawati ni Elimu katika mkutano wa kimataifa wa Beijing International Conference on Learning Cities ambapo alikuwa mmoja wa watoa mada.
Kutoka kushoto Mwezeshaji Mr Ahlin Jean-Marie, Meya Jerry Silaa, DRC Congo Waziri wa Elimu Mh, Therese Olenga Kalond, Meya Comlan Lome, Togo na Kamishina wa Elimu Farouk Iya Sambo Kano State Nigeria. Jukwaani Meya Haskins Nkaigwa Gaborone, Bostwana.
.apata nafasi ya kunadi kampeni ya ‘Dawati ni Elimu’
Mstakihi Meya wa Manispaa ya Ilala, Ndugu Jerry Silaa hivi karibuni alipata fursa ya kuhudhuria mkutano wa Beijing International Conference on Learning Cities ambapo alipata nafasi ya kuzungumzia kampeni yake ya Mayor’s Ball ‘Dawati ni Elimu’ kama mmoja wa watoa wa mada kwenye mkutano huo ulioratibiwa na shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na utamaduni (UNESCO).
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake