MISA YA KUMUOMBEA NA KUMUAGA MAREHEMU ITAFANYIKA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 27 OCTOBER PALE GREENBELT CHURCH
ADDRESS NI
10110 GREENBELT ROAD
LANHAM.MD.20706
MISA ITAANZA SAA NANE MCHANA HADI SAA KUMI JIONI NA KUFUATIWA NA CHAKULA CHA JIONI PAMOJA NA FAMILIA YA MAREHEMU.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake