Baba mwenye nyumba na mama mwenye nyumba wakicheza pumping ilikuwa ni siku ya kusherekea kuzawaliwa kwa baba mwenye nyumba. Mapenzi ni siri kubwa sana kwa wapendana nao na nikitu cha kufurahisha. Watu wanaopendana ugeuka kuwa comfortable na kufanya mambo bila haibu hiyo yote ni kwavile wanaupendo wa dhati, Na upendo huo uwafanya kufanana na kuonekana kama kaka na dada. Haya yote hapa ni mapenzi acha wacheze kwani wanapendana.
3 comments:
Sahihisha bwanaaa hiiiii nyie vipi
hongera kaka kwa kuzaliwa tena..make sure usikose sunday mazoezi
nakuonea raha niaje mie mume wangu hata kuongea hatuongei akirudi kutoka kazini anakula; akimaliza anachukua simu yake badae analala kwenye kochi akiongea ni salamu tuh
Post a Comment