ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, October 19, 2013

MSIBA DMV NA TANZANIA

FAMILIA YA NETO NA KATE INASIKITIKA KUTANGAZA MSIBA WA BABA MZAZI WA NETO; MZEE PETER MWIMBWA ULIOTOKEA IJUMAA OCTOBER 18 NCHINI TANZANIA. TARATIBU ZA MAZISHI  ZINAFANYIKA NCHINI TANZANIA.

KAMA ILIVYO MILA NA DESTURI YA WATANZANIA KUPEANA POLE NA KUFARIJIANA NDIO TAMADUNI ZETU.
KWA HAPA MAREKANI MSIBA UKO FREDERICK, MARYLAND NYUMBANI KWA NETO NA KATE.

ADDRESS NI 1301 BAKER PLACE EAST #21
FREDERICK MARYLAND 21702.

KWA  MAWASILIANO PIGA SIMU:
NETO: 240 367 2234
KATE: 240 350 7283

No comments: