Mayor Mlima mfanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani anasikitika kutanzagaza kifo cha mdogo wake Rajabu Ahmed Mlima kilichotokea kwenye jeshi la kulinda amani DRC mapema Jumapili Oct 27, 2013 kama ilivyo mila na desturi yetu kupeana pole ndio Utanzania wetu na ustaarabu tulioachiwa na mababu zetu ukipata muda tafadhali pitia nyumbani kwa Mayor Mlima
Address ni
9205 New Hampshire Ave Apt 207
Silver Spring, MD 20903
Simu ya Mayor Mlima 301 806 8467
Ukipata taarifa hii mtaarifu na mwenzio
Kaka Meya pole sana na kifo cha mdogo wako. Sala zangu kwako na familia yako katika kipiondi hiki kigumu cha kuondokewa na ndugu yako. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
ReplyDeleteJamani hivi kwa nini msiweke taarifa sahihi kuwa kifo cha Kamanda wetu Luteni Mlima kimetokea leo Jumapili huko Katika uwanja wa mapambano na majeshi ya M23 Goma nchini Congo, DRC.
ReplyDeleteMaana wengine tulisoma taarifa hizi mapema kwenye Cable network mbalimbali lakini sikuweza ku connect uhusiano wa majina na Bwana Mayor Mlima.