ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, October 17, 2013

SANGA NYAMASYEKI AZIKWA JIJINI DAR LEO

Ndugu jamaa na marafiki wakipita karibu na jeneza kuuaga mwili wa Sanga Nyamasyeki aliyekuwa mfanyakazi wa Tigo katika ofisi ya huduma kwa wateja Kariakoo. Marehemu alifariki dunia Oktoba 12 mwaka huu kwa ugonjwa wa kansa ya damu na kuzikwa leo katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar.
Wafanyakazi wa Tigo wakitoa heshima zao za mwisho kwa mwaili wa marehemu.
Safari ya kuelekea makaburini.
Umati wa ndugu jamaa marafiki pia wafanyakazi wa tigo wakiwa makaburini kwa ajili ya kuupumzisha mwili wa marehemu.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Jeneza likiingizwa kaburini.
Marafiki wa marehemu wakiweka mataji ya maua juu ya kaburi.
Mwakilishi kutoka Tigo, Edwin Mgoa akiweka maua katika kaburi la marehemu Sanga.
Kaka na mdogo wa marehemu wakisaidiwa na mama yao katikati katika kuweka mashada ya maua kwenye kaburi.
Dk. Leonard Nyamasyeki ambaye ni baba mzazi wa marehemu akitoa shukrani kwa wote waliokuwa pamoja katika kipindi cha ugonjwa na hatimaye kipindi kigumu cha kifo cha mtoto wake mpendwa Sanga Nyamasyeki.

(Picha zote na Mwanaharakati Mzalendo Blog)

1 comment:

Anonymous said...

Poleni sana wafiwa Mungu awape faraja mioyoni mwenu.