ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, October 31, 2013

Steve RnB Live Performing Ndani ya Ambassador Lounge IIjumaa hii November 1st, 2013

Ndani Ya Ambassadors Lounge “Ijumaa Hii”Ya Tarehe 01.11.2013 Itakuwa Ni Kuua Ndege Wawili Kwa Jiwe Moja
Ni “Welcome Back Party” Ya Wanafunzi Wote Wa IFM Ambao Mlikuwa Likizo Na Sasa Mmerejea Chuoni
Na Pia Ni “Welcome Back Party” Ya Msanii STEVE RNB Ambae Kwa Muda Mrefu Sasa Hujamsikia Wala Kumuona Sababu Alikuwa Kwenye Tour Ndefu Nje Ya Nchi,Njoo Umuone Akiperform Hit Single “Jambo Jambo” Na Akitambulisha Wimbo Wake Mpya “Huyu Demu” Feat Mr Blue
Kama Kawa Kwenye Decks Ni Dj Steve B/Dj Skills Along Side Dj Pac Na Dj Masu
Kiingilio NI sh 10,000 tu mlangoni kuanzia saa 3 usiku
Wanafunzi Wa Vyuo Vyote Vingine Vya Dar-es-salaam Mnakaribishwa Tujumuike Kwa Pamoja... Sana Tu
 
Ahsanteni

No comments: