Waheshimiwa Wanajumuiya,
Kutakuwa na Mkutano wa Jumuiya yetu siku ya Jumapili tarehe 3 Novemba 2013 kuanzia saa kumi na moja na nusu jioni. Tafadhari iweke tarehe hii kwenye kumbukumbu zako na unaombwa kuhudhuria mkutano huu ili kuweza kujua mwenendo wa jumuiya yetu na ili tuweze kupata maoni yako na vile vile ili tuweze kuboresha shughuli zetu za Jumuiya. Mkutano huu utafanyika Harlem (Address:
2031 Adam Clayton Powell Blvd.
(7th Ave. Between 121st and 122nd)
just a few short blocks from Harlem’s World famous Apollo Theater. Maelezo zaidi yatafuata siku za usoni. Tunaomba mjiandae kwa siku hiyo. Na tunawaomba tusichelewe. Kutakuwa na vinywaji na vitafunio vitakavyotolewa ili kupoza kiu na kutuweka imara kiafya.
Asanteni.
xxxx
Dear Community Members,
Our next Community meeting will be on 3rd November 2013 at 5:30 pm. Venue: 2031 Adam Clayton Powell Blvd. (7th Ave. Between 121st and 122nd) just a few short blocks from Harlem’s World famous Apollo Theater. We will send more details of the meeting later. Please, come earlier so we can start on time. Soft drinks and other refreshments will be served. See you there and thank you for now.
Deogratius Mhella
The Executive Secretary
New York Tanzanian Community
c/o Tanzania Mission to the UN
201 East 42nd. Suite # 425
New York, NY 10017
Email: info@nytanzaniancommunity.org
3 comments:
Mimi kama mwanajumuiya ningeomba mkutano uanze on time siyo mambo ya kujivuta. Asante.
Kawaida ya watanzania kawaida yao kujivuta ndio maana wengi wetu tupo nyuma kimaendelo.
maendeleo analeta mmungu hata ukijitahidi vipi kama hujajaliwa huwezi kuyapata haya maendeleo
Post a Comment