ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, October 31, 2013

UJENZI WA BARABARA YA NJIA NNE WAANZA KIVUKONI FRONT


Kampuni ya Strabag imeanza ujenzi wa barabara ya njia nne katika eneo la
Kivukoni Front ambalo lina ofisi mbalimbali za Serikali.   Ujenzi huo
ulianza jana tarehe 30 Oktoba, 2013. 
Kwa mujibu wa wajenzi, ujenzi huo utaunganisha Barabara za Kilwa na Morogoro. Aidha inaelezwa kuwa maegesho ya magari yatakuwepo pembezoni mwa barabara  upande wa bahari  ujenzi ukiisha,lakini kwa sasa watu wanapaki maeneo mengine ya mjini.Picha zote na "Bella"

No comments: