PAUL MAKONDA
Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) limewathibitisha wakuu wa idara ambapo aliyekuwa mgombea wa Uenyekiti Ndugu Paul Makonda amekuwa Mkuu wa Idara ya Hamasa na Chipukizi; Omari Suleiman amekuwa Mkuu wa Idara ya Utawala na Fedha na Zainabu Katimba amekuwa Mkuu wa Idara ya Organization
No comments:
Post a Comment