ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, October 26, 2013

WATANZANIA WAENDELEA KUJITOKEZA KILA JIONI NYUMBANI KWA ALEX KUOMBOLEZA KIFO CHA BI MARTHA SHANI WASHINGTON DMV!

Mume wa marehemu Bwana Alex akimlisha mwanae mdogo Chris Chakula
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania DMV Iddi Sandaly(kushoto) na Baraka Daudi(kati) wakisikiliza jambo
Lovenes na DMK wakiwa na ALex  Msibani
kushoto ni Julius Mannase katika picha ya pamja na Mwenyekiti wa kamati ya Mazishi Ndugu Augustino Tino
Kushoto ni Julius Katanga akiwa na Baraka Mwaijande nyumbani kwa Alex Kassuwi mume wa marehemu (hayupo pichani)
kwa picha zaidi bofya soma zaidi


2 comments:

Anonymous said...

Mr Alex pole ! But Human body menerals comes from fruits & vegitatables consumption "Naona unamlisha mtoto chakula kuala bila mboga za aina yoyote hapo. WE ARE WHAT WE EAT. Tukumbushane jamani maisha ndio haya haya.

Anonymous said...

Please just stop it!!!! Get a life with your thoughts! !!!