ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, October 27, 2013

WEMA SEPETU AFIWA NA BABA YAKE MZAZI, MZEE BALOZI ABRAHAM ISAAC SEPETU

Wema (kulia) akiwa na baba yake (kati), kushoto ni meneja wake anayejulikana kwa jina la Petitman.
Balozi Abraham Isaac Sepetu amefariki dunia mapema leo akiwa katika hospitali ya TMJ alikokuwa amelazwa akitibiwa ugonjwa wa Kisukari na kiharusi alioupata hivi karibuni mjini Zanzibar. Balozi Sepetu, ambaye pia ni baba mzazi wa Miss Tanzania 2006, Wema Isaac Sepetu, hadi anapatwa na ugonjwa na hatimaye mauti, alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Uwekezaji wa Vitega Uchumi Zanzibar. PICHA: Maktaba/GPL

1 comment:

Anonymous said...

pole sana wema na family yako inna lillahim waina illahim rajiun sana itabidi utuliye uolewe ile mama awaone wajuku asije akaondoka na yeye ikawa noma please kaa fikiri hili baby. ahsante na pole sana