Pichani ni Diamond Platnumz msanii kutoka bongo akiwa na bwana harusi Peter wa P-square pale walipokutana huko Lagos Nigeria kwenye harusi ya Peter. Diamond yupo nchini Naigeria kwaajili ya utengenezaji wa video yake mpya ya wimbo 'Number One remix' akimshirikisha msanii maarufu kutoka Naigeria anaitwa Davido. Tutegemee mambo mazuri sana kutoka kwa Diamond
Akiwa na Mwanamuziki Iyana



2 comments:
Bwana Harusi pua!
Kamua dogo maisha popote
Post a Comment