Hotel ya kifahari yajengwa kati kati ya bahari kisiwani pemba hotel hiyo yenye kugharimu dolla 900 kwa single na double dolla 1500. Kwani ndio hotel ghali Afrika Mashariki na kati hotel hiyo iliyojengwa na kampuni ya kisweden inayoitwa genbarg company hotel inaitwa THE MANTA RESORT
Ni hotel tofauti zilizopo pemba
Ina mvuto wa kipekee
No comments:
Post a Comment