ANGALIA LIVE NEWS

Monday, November 4, 2013

HAPA NA PALE YA VIJIMAMBO MSAHAU KWAO MTUMWA

Bwana Maftah mwenyekiti wa tawi la CCM New York ndani ya Kilwa kutembelea mababu, Hapa Bwn. Maftah akiwa ameshika kitoweo cha siku hiyo fresh kabisa kutoka Bahari ya Hindi huko Kilwa mkoani Lindi,
Likizo ndani ya Mji wa Kilwa katika mkoa wa Lindi bwana Maftah yupo huko kwa mapumziko
Mji wa Kilwa unahistory kubwa sana kwa ukanda wa Kusini kipindi cha wakoloni
Bwana Maftah akiwa nje ya nyumba iliyojengwa kwa udongo na juu ni makuti home sweet home.

No comments: