ANGALIA LIVE NEWS

Monday, November 4, 2013

BADA YA MISA KWA LUGHA YA KISWAHILI YAFANA BALTIMORE MD

Padre Evod Shao akiongoza ibada ya misa kwa lgha ya Kiswahili inayofanyika mara moja kila mwezi katika kanisa katoliki la Mt.Edward huko Baltimore Md. Jumapili Novemba 3, 2013 ambapo katika ibada hiyo waumini walikumbuka marehemu wote.Baraka Daudi akifuatilia ibada.Waumini wakifuatilia ibada. Bw.Steve Msungu na mamaa Esther na Jr.wakifuatilia ibada hiyo. The Ngayoma's wakiwa na Bw.Kenny Kulia.Kwa picha zaidi ungana na Sundayshomari.com

No comments: