Vipande 700 vya meno ya Tembo vilivyokamatwa maeneo ya Mikocheni - DSM
Zaidi ya vipande 700 vya meno ya Tembo ambavyo vinakadiriwa kuwa ni zaidi ya tembo 200 kama wangekuwa hai vimekamatwa katika maeneo ya mikocheni jijini Dar Es Salaam ikiwa ni katika makazi ya raia wenye asili ya China.
No comments:
Post a Comment