ANGALIA LIVE NEWS

Monday, November 4, 2013

RAIS JAKAYA KIKWETE AMJULIA HALI DKT SENGONDO MVUNGI ALIYEJERUHIWA NA MAJAMBAZI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi Mhe James Mbatia na daktari wa zamu wakimwangalia Mjumbe wa Tume ya Katiba Dkt Sengondo Mvungi aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kitengo cha Mifupa (MOI) leo Oktoba 3, 2013 kufuatia kujeruhiwa kwake na watu wanaosadikiwa ni majambazi usiku wa Jumamos Oktoba 2, 2013. PICHA NA IKULU

No comments: