Ndugu Wapendwa
Tunanpenda kuwakaribisha kwenye ibada ya misa takatifu kwa lugha ya kiswahili itakayofanyika Novemba 3 katika Kanisa Takatifu la Mtakatifu Edwadi, Baltimore Maryland.
(Saint Edward Roman Catholic Church 901 Poplar Grove St, Baltimore, Maryland 21216 ),
Saa nane kamili mchana (2:00 PM)
Nia ya ibada ni "Kutoa Shukurani na Kuziombea Familia Zetu"
Kwa mawasiliano tumia anuani pepe wauminiwakatoliki@gmail.com
Karibuni sana tafazali wakaribishe ndugu na jamaa zako.
When : Sun Nov 3, 2013 2pm – 3:30pm Eastern Time
Where Saint Edward Roman Catholic Church
901 Poplar Grove St,
Baltimore, Maryland 21216 (map)
1 comment:
Ukorebuya Musani
Post a Comment