ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, November 2, 2013

Kisomo cha Marehemu Luteni Rajabu Mlima

 Kaka wa marehemu,Bwana Mayor Mlima akitoa neno la kuwashukuru watu wote waliojumuika naye katika kisomo cha marehemu mdogo wake,Luteni Rajabu Mlima.

PICHA ZOTE  KWA HISANI YA(IskaJoJo)









































 Mwenyekiti wa Jumuhiya ya watanzania DMV (DC,Maryland na Virginia) Bwana Iddy Sandali akisema machache
 Mwambata wa jeshi la ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na Canada Colonel Adolph Mutta akitoa nasaha chache kwa wanajumuhiya.




















1 comment:

Anonymous said...

Asha Akida amependeza mno.