ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, November 3, 2013

FLASHBACK

Unakumbuka tangazo la Philips katika Radio Tanzania.
Philips Ndio Yenyewe....Sauti Safi Sauti Kubwa. Redio hii ilikuwa inapatikana katika maduka ya RTC na ilikuwa Shilingi 1900/= ilkuwa ghali ile mbaya

No comments: