Machapta Inc yaanza kushuti video ya Chismo inayoitwa Chuchuchu! Audio yake imetengenezwa chini ya muandaaji wa Bongo flevar Mesen Selector na hii video inafanywa na kampuni ya Xtreem Videoz Directors Geofrey na Johzey. Leo video hii inaendelea kwenye hatua ya pili mjini Posta Dar es salaam
No comments:
Post a Comment