Atufigwege na mkewe Neema wakiwa meza kuu kwenye sherehe ya harusi yao iliyofanyika Oct 19, 2013 jijini Mbeya baada ya sharehe ya kuagwa bi harusi iliyofanyika jijini Dar Oct 11, 2013. Atufigwege Mponi ni mkaazi wa Maryland nchini Marekani na Bi harusi ni mkaazi wa Dar es Salaam nchini Tanzania.
Bwana na Bi harusi wakilishana keki kwenye sherehe ya harusi yao iliyofanyika jijini Mbeya siku ya Jumamosi Oct 19, 2013 na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki.
Atufigwege na Neema wakichum baada ya kulishana keki.
Atufigwege akimfunua mkewe wakati wakiwa kanisani kwenye ndoa yao iliyofanyika Oct 19, 2013 jijini Mbeya, Tanzania.
Ni heshima kwa kwenda mbele Neema akimpigia goti mumewe Atufigwege wakati alipokuwa akivishwa pete siku ya Jumamosi Oct 19, 2013 kwenye ndoa yao iliyofanyika jijini Mbeya.
Ni heshima kwa kwenda mbele Neema akimpigia goti mumewe Atufigwege wakati alipokuwa akimvisha pete mumewe siku ya ndoa yao iliyofanyika jijini Mbeya.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi.
1 comment:
mmependezaje, Hongera sana Mponi....so happy for you.
Post a Comment