Mjumbe wa tume ya katiba Dr. Segondo Mvungi alivyovamiwa na majambazi.
Mjumbe wa tume ya mabadiliko ya katiba Dr. Segondo Mvungi amelazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi katika taasisi ya mifupa Muhimbili -MOI baada kuvamiwa na majambazi nyumbani kwake Kibamba ambapo wamemkatakata kwa mapanga sehemu mbalimbali za mwili wake hasa kichwani.
No comments:
Post a Comment