ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, November 2, 2013

MTOTO SULEIMAN HATIMAE AMELAZWA CCBRT KWA MATIBABU

Mtoto Suleiman hatimae amelazwa katika Hospitali ya CCBRT kwa ajili ya matibabu ya miguu yake kuvimba tangia alipozaliwa  na sasa hivi vipimo vikubwa vinaendelea kufanyika. Pesa iliyokusanywa hadi sasa ni Tzshs milioni sita na laki nane na milioni tatu zimewekwa kwenye akaunti ya CCBRT kwa ajili ya malipo ya matibabu yake na tutazidi kuwataarifu kama upasuaji wa miguu yake utafanyika nchini Tanzania au nje tumuombee mtoto Suleiman ili Mungu asikilize dua letu na hatimae kumponyesha kabisa mtoto huyu.

No comments: