ANGALIA LIVE NEWS

Monday, November 18, 2013

MWANA FA ALONGA NA VIJIMAMBO

Longa na Vijimambo from Luke Joe on Vimeo.
Mwanamuziki wa kizazi kipya anaefanya vizuri kwenye tasnia hiyo ya Bongo Flava, Mwana FA leo Jumatatu Novemba 18, 2013 alonga na Vijimambo aelezea historia yake kwa ufupi na kwanini yupo Marekani je yeye ni mfuasi wa Freemason? Je anamchumba? na kama anaye mchumba wake ni nani na lini wataaowa? kati ya Ali Kiba na Diamond nani anamkubali na mengene mengi MSIKILIZE

5 comments:

Anonymous said...

LUCA HUYO JAMAA ANAITWANANI KAJITAIDI KIDOGO

Anonymous said...

LUCA TUNAITAJI CHALLENGI KAMA HIZO KWENYE BLOGS MTU ANAJUA ANACHOULIZA NIMEIPENDA NAZURI SANA UMEMTOWA WAPI HUYO MTANGAZAJI INAONYESHA ANAMJUA SANA MWANA FA NABONGO FLEVA. KWELI LAKINI YUWAPI ALI KIBA JAMAAANI

Anonymous said...

ANGEKUWA JABILI JONGO HAPO NAJUWA NINGECHEKA SANA

Anonymous said...

This guy, mwana Fa,anaonyesha jinsi ambavyo elimu inasaidia kupanuwa mawazo. Anaongea kwa ufasaha, anaonyesha anaheshimu wanamuziki wenzie, na anajua nini cha kuongea hadharani na nini cha kuweka moyoni. Pia anaelekea anajua fadhila na anazikumbuka. Kwa mfano ameaknowledge kuwa Lady J.D alimlipia ada ya uanacham wa chama cha wanamuziki yeye (mwana Fa) akiwa masomoni ughaibuni. Nakushangilia mwana Fa.

Anonymous said...

mwana FA na AY nawapenda kwani ni wastarabu sana huwezi wakuta wanavaa milegezo kama wanamuziki wengine...huku ulipo ugenini ndio kwenyewe kwa mlegezo lkn AY angalia wanaovaa mlegezo ni watu wa aina gani ukawaelimishe watanzania wenzetu wanavyoiga wanajua maana yake?