ANGALIA LIVE NEWS

Monday, November 4, 2013

NMB YATOA MSAADA WA VYANDARUA HOSPITALI YA LIGULA MKOANI MTWARA

Meneja wa NMB Kanda ya Kusini, Lilian Mwinula akimkabidhi Daktari Mfawidhi wa hospitali ya Ligula-Mtwara, Mohamed Ahmed Gwao sehemu ya msaada wa vyandarua uliotolewa na benki ya NMB kwa hospitali za mkoa wa Mtwara vyenye thamani ya shilingi milioni 10/-. Wanaoshuhudia kutoka kushoto ni matroni wa hospitali ya Ligula, Theofrida Manoti, Mganga Mkuu wa Wilaya, Joseph Mwiru na Meneja wa tawi la NMB Mtwara, Richard lema.

No comments: