ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, November 21, 2013

TASWIRA YA MUSIC VIDEO MPYA YA KANYE WEST SAFARI HII HAJATAKA MAKUU MKE WAKE MWENYEWE KAMSHIRIKISHA

Kanye akiwa na mke wake Kim ndani ya video yake mpya safari hii Kanye akimshirikisha mke wake ndani ya chupa hicho full malavidave kiroho safi. Chupa hicho kilikuwa kinatayarishwa uko kwa Elizabeth habri ndiyo hiyo kitu live bila chenga.
Tamba na mke wako kwanini ukabanane na warembo wengine ndani ya chupa chako na kutiwa majaribuni wakati wako  anabamba kila idara full package. Video hiyo mpya itajulikana kwa jina la Bound 2
Mambo haya ni huko kwa Elizabeth.
Wakionekana kama wako movie theater 
Hapa Kanye na Kim wake wakiwa kwenye ngalawa pembezoni mwa ziwa. Katoto kao ka North kametulizwa na yaya nyumbani baba na mama wakichapa mzigo maisha yanaendelea.

No comments: