ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, November 21, 2013

MIKE "IRON' TYSON AMRUDISHIA EVANDER KIPANDE CHA SIKIO LAKE

Tyson akimpa Evander kipande cha sikio lake, kipande hicho cha sikio kilikatwa na Tyson kwenye pambano lao la mwaka 1997. Kwa wale vijana wa siku hizo wanaweza kukumbuka nini kilitokea , kama ulikuwa Africa am sure ulilala juu ya kiti pale bar ya jirani, kwa wale waliotokea pande za Arusha sehemu ya Ngarenaro pale kibanda "umiza" kwa kiingilio cha  Shl100. Ni kwa sisi watoto wa uswahili tv miaka hiyo hadi tuende bar na kununua japo soda aina ya sprite ikiisha una refill na maji. Iliuendele kubakia mezani kuwatch tv.
Evander akionekana kuwa surprise baada ya Tyson kugonga mlango
Tyson alimuomba Evander  msamaha kwa kukaa na kipande cha sikio lake kwa miaka yote hiyo.
Evander akichukua kipande cha sikio lake, Evander kama aamini vile kama kweli hicho ni kipande cha sikio lake
Evander akishukuru na kusema aksante kaka mkubwa.
Marafiki tena baada ya kusamehana na kupeana hug kuonyesha tofauti zao sasa wamezizika.

1 comment:

Anonymous said...

hiyo hug inaegemea kwa sikio, chonde chonde this time usilitoe lote. yaani evander wala haogopi kupeana hug mwe!