ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, November 21, 2013

WADAU HII IMEKAAJE ?

KATUUNI HII IMELETWA KWENU KWA IDHINI YA MDAU WETU MARCO TIBASIMA

3 comments:

Anonymous said...

jibu ni all of the above. Mtu akitaka ku-commit suicide hatuwezi kumzuia hata bila silaha atajinyonga, muhimu ni polisi hasa wa intelijensia kufanya kazi zao kwa makini na uweledi mkubwa na wananchi wanapoona kuna suspicious individual wapige simu mapema ili kuokoa maisha ya watu.

Anonymous said...

ALL. ila ikibidi hiyo C na D zinanenda simultaneously, no way I am dying alone. tunaondoka tugether!

Anonymous said...

Kama ni mchaga jibu ni C