1 AFARIKI 27 WAJERUHI KWENYE AJALI YA BASI LA HOOD MOROGORO
Mtu mmoja amekufa na wengine 27 kujeruhiwa baada ya basi la Hood Limited lililokuwa likitokea Mbeya kwenda Arusha kupata ajali eneo la Melela Mvomero, Mkoani Morogoro.
Upande wa chini wa basi la Hood
Wakazi wa eneo la Doma nje kidogo ya mji wa Morogoro wakitafakari tukio kwa huzuni.
Wakazi wakishuhudia basi la kampuni ya Hood lililopinduka jioni hii maeneo ya Doma,Morogoro.
No comments:
Post a Comment