Pheadra Parks of Atlanta's House Wives in the center
From L -R LB, Sasha the diva's Husband,and Sasha The Diva Sarah Langford and Mayor Of Atlanta Kasim Reed
LB akiwa na watangazaji mastar wa Tv na Radio mbalimbali za Atlanta
LB akiwa na mmoja wa Watangazaji wa 11Alive TV na ABC TV Karyn Greer
Jasmine Guy and Jonathan Slocumb wakiwa ni kati ya celebs walio hudhuria Mayors 30th anniversary masked ball
Mwanamziki mkongwe wa Old school Gladys Knight akiburudisha
A performance from Gladys Knight
Sasha The Diva who was one of the hosts and a vice chairperson hosting the Mayors Masked Ball
Sasha the Diva and Jonathan Slocumb
FONZWORTH BENTLEY and wife FAUNE CHAMBERS
Linda's Futuristic ball gown in the making
Mwaliko na Ticket ya Linda Bezuidenhout ikiwa na table number ambayo ilikuwa
10 comments:
ANASONGA LINDA ILA TABU KUTUKANANA NA WATOTO ANAOWEZA KUWAZAA ,MIE SIJAUSA ALIPO NA SITUKANANI HATA NA WA RIKA LANGU ,FACEB YAKE IMEJAA UOZO.
WATANZANIA TUKO NYUMA HATA TUKIWA MBELE HATUJIJUI
Poor thing, hopefully this makes you feel better. I just wonder if all mother's are capable of mothering the brains of their children. Simply because the mother seems in desperate need of mothering herself. But if this helps you sleep, you have done yourself a fever. Please post meaningful news. Ain't Nobody Got Time for That.!
Poleni zenu we mdau hapo juu ile facebook Yake tunaimiss wengine alikuwa anatoa vijembe live mimi penda sana huyu dada ni kiboko ya wengi mtasema mtachoka na hii news ni kubwa sana. Hapana chezea Mayors ball bwana ticket zake hazipatikaniki kiraisi. Go Linda
Facebook ya Linda hii hapa itembelee alafu tueleze uchafu uko wapi na hao watoto walimkosea adabu ndo akawapa bakora zao na kwanza sio watoto vibibi vizee bwana na wengine wanaomtukana na familia Yake mlitaka akae kimya? Mpwa usiminye comment yangu tunaelezana ukweli na kuelimishana facebook ya Linda hii hapa na ipo public hatochukia akisikia link ipo hapa Mpwa weka Kama ulivoiweka iyo comment ya kwanza na hii iweke
https://www.facebook.com/LindaBezuidenhoutApparel
Huyu hawezagi kuwa mkubwa na heshima lazima abishane na kujiwekea ma comment sa zote anaishi kwa ajili ya watu mama do you acha sifa
Mnamuonea wivu sijui watanzania tukoje?Ndio maana nchi yetu inashika mkia kwa umaskini. Badala ya kuwaza maendeleo mnawaza maugomvi. Yaani ni balaaa. Na hizi comments katakuwa kale kajulikanako kwa mawivu. Ndio maana hakinenepi. Hongera Linda Mungu akuepushe na Majanga.
Nakupendaje Linda wangu huwaga hujali makelele ya wajinga. Huwa unawaacha mapovu ya midomo yawatoke wewe kimyaaa unawacheka. Hahaaaaa Kimbaumbau utaishia OAKLAND tu.
Hongera Dada Linda Unayaweza. Wanadamu hawaishi kusema. Keep it up .Songa songa mbele! Kumbuka watasema mchana wee na usiku watalala!!!!
Kwikwiiiiiii wewe mdau hapo juu umeua eti ndio maana nchi yetu inashika mkia kwa umasikini.Ni kweli lakini watanzania tunapenda kurudishana nyuma sana. Yaani majungu , wivu na Umbea badala ya kutumia huo muda kutafuta maendeleo mmekaa kutafakari ya wenzenu na kucomment upuuzi unaowapa faraja at the moment. Ndio maana wengine mlipata division Zero kwa ujinga wenu. Dada hongera mwaya kamwe usikae nyumbani kumpikia mume kwa uvivu wa kusaka maendeleo endelea kujituma mamaa.
Huyo mwenye wivu atakuwa Ushuzi tunamjua mbona. Kazoeleka kwa choyo mjini binti Kimbaumbau.
Post a Comment