Kijana mmoja aendesha maisha yake kwenye handaki afunguka
1 comment:
Anonymous
said...
mungu akubariki chacha makenge ebwana eeh nimependa sana ujasiri wako na msemo wako kwamba huna wakati wa kulipiza kisasa wakati una fikra nyingi za kujiendeleza na si za kukurudisha nyuma nimependa sana mkuu ningekuwa na uwezo ningekuchangia mkuu lakini ndo hivyo tena sema nimependa sana ujasiri wako na ni kweli uliyoyasema kwamba serikali inapoteza sana kodi na wamekaa watu majuha huko juu hawana chemsha bongo wanachojali ni vitambi vyao

Post a Comment