ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, December 3, 2013

Kipindi cha familia kutoka Jamii Productuion...Majukumu ya Baba katika Familia

Karibu katika kipindi hiki cha FAMILIA kutoka Jamii Production.
Katika kipindi cha wiki hii, mjadala wa WAJIBU WA BABA KATIKA FAMILIA umefungua mfululizo wetu wa mijadala kuhusu wajibu wa mzazi kwa familia yake
Mbali na washiriki waliokuwemo studio, pia tumeshirikisha maoni toka kwa wasikilizaji wetu wapendwa waliyotoa kwenye ukurasa wa Facebook
Msimamizi wa kipindi Abou Shatry akifuatilia mjadala

Karibu uungane nasi

Mjadala ukiendelea
Mgeni wetu katika mjadala huu Isidory Lyamuya

6 comments:

Anonymous said...

MNAJIITA JAMII PRODUCTIONS HALAFU HAMUONEKANI KWENYE SHUGHULI ZA WABONGO. NINYI WABINAFSI.

Anonymous said...

Angalizo: Hivi hiyo Ofisi yenu haina Heating System? Mbona ni kama watu hawako comfortable? Inakuwaje bado watu wako ndani bado wamejikoki na makoti, kofia na cloves za baridi?

Aidha, namipa pongezi kwa shughuli zenu za kuhabarisha jamii juu ya mabo mbalimbali.

Anonymous said...

Msemaji wa kwanza asante sana maana hawa wajamaa siwaonagi eti!

Anonymous said...

Jamii Production safi sana,Bubelwa nakukubali kwa kuhabarisha lakini mada nyingine waiteni wahusika wataalamu. Kwa mfano mada hii ya wajibu wa baba katika familia mnaonaje mngewatumia na viongozi wa dini? Sababu baadhi ya hao watu uliowatumia kuwepo hapo studio kama waalikwa ni watu ambao wameshindwa. Ni hivi binadamu hawezi kuwa kiongozi kama ameshindwa kuiongoza familia. Mtu akiikataa mimba na kisha mtoto akisha zaliwa ataifundisha nini jamii. Kazi kwako Jamii Prod. Uwe mwangalifu kuchukua wachangiaji wako.

Anonymous said...

Jamii production. Tafadhali wekeni watu wa kutoa hoja wenye mfano mzuri wa jamii.sio mnafiki aliotelekeza mtoto..If you want change the world. Look yourself on the mirror.jamii unajipunguzia heshima ukiweka waongo na wanafiki sio wasiiojjali watoto..

Anonymous said...

USHAURI WANGU KWAKO MWANA JAMII PRODUCTION, MALENGO YA HIKI CHOMBO NI MAZURI YA YANAIFIKIA JAMII. HAIFANYI SHUGHULI ZA KUIGA TOKA KWA WASANII AU BLOGHOSTERS, MMEKUWA WABUNIFU. FANYENI MPANGO WA KUWAHOJI HATA WAFUNGWA WA KIMATAIFA KAMA AKINA TOMAA LUBANGA, NTAGANDA BOSCO, CHARLES TAYLOR, NA WWENGINE KAMA BABU SEA NK. PIA TULETEE MAHOJIANO LIVE NA AKINA ZITTO KABWE, MREMA,LIPUMBA NA WENGINEO.
NINA MAANA MIX YOUR UTAMU, LEO SIASA,KESHO UCHUMI, MAMBO YA KIROHO THE DAY AFTER TOMMORROW.