MSANII wa mziki wa bongo fleva Remmy Williams |
MSANII wa mziki wa bongo fleva Remmy Will akiwasili nchini akitokea Italy |
MSANII wa mziki wa bongo fleva Remmy Will (kushoto ) akiwasili nchini akitokea Italy kulia ni meneja wake nchini Italy Wactor Fizio walipowasili nchini Tanzania |
MSANII wa mziki wa bongo fleva Remmy Williams |
MSANII wa mziki wa bongo fleva Remmy Williams katikati akilakiwa na baadhi ya warembo waliojitokeza kumpokea msanii huyo |
MSANII wa mziki wa bongo fleva Remmy Williams akiwa ameshikwa mkono na meneja wake wa Tanzania Mcdennis Mgatha
Sikiliza moja ya nyimbo zake
Na Mwandishi Wetu
MSANII wa mziki wa bongo fleva Remmy Williams anaefanya shughuli za mziki nchini Ital ameingia nchini jana na kutua
jijni Dar es salaam kwa ajili ya kufanya kazi na wasanii wenzake nchini
Akizungumzia ujio wake mara baada ya kutua uwanja wa ndege wa kimataifa wa mwalimu julius nyerere Dar es salaam
anasema kuwa nawapenda wasanii wote wa Tanzania wanavyofanya vema nchini na kazi zao nyingi zinavuka mipaka kwa
ajili ya kujitangaza kimataifa
ata hivyo yeye amejitokeza kuupaisha mziki huo kwa kushirikiana na wasanii atakaochaguliwa kushirikiana nae
akizungumzia ujio wa msanii huyo meneja wake nchini Mcdennis Mgatha amesema msanii huyo kaja nchini kwa ajili ya
kufanya colab na wasanii hapa nchini hivyo wapenzi wa mziki wakae mkao wa kula
kwani ana vitu vingi sana alivyo waandalia ikiwemo nyimbo mpya pamoja na kufanya shoo kwa ajili ya kutambulisha
nyimbo hizo
No comments:
Post a Comment