ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, December 29, 2013

SALAMU ZA MWAKA MPYA KUTOKA KWA LOVENESS MAMUYA AKA IRON LADY

Loveness Mamuya anawatakiwa kheri ya mwaka mpya Watanzania wote wakiwemo Wanadiaspora bila kuwasahau wadau wote wa Vijimambo

3 comments:

Anicetus said...

Happy birthday Loveness: Long live

Temba

Anonymous said...

Kweeli wewe ni zero! Hapa Loveness ametutakia mwaka mpya mwema-wewe unakurupuka na "happy birthday" !!! Wewe ni wale walee wa division Five!! Anyways, happy New Year Loveness Mamuya. God bless you!!

Anonymous said...

Kajiandikia mwenyewe hiyo birthday wish.