Flora Komba Glimsdale enzi ya uhai wake
TanzaSeattle inasikitika kutangaza kifo cha aunty Flora kilichotokea leo asubuhi nyumbani kwake.
Kwa wakazi wa Seattle, WA na vitongoji vyake msiba upo nyumbani kwa marehemu.
13012 NE 121st Ln #J206
Kirkland, WA 98034
Maelezo zaidi yatafuatia.
Tunachukua wakati huu kutoa pole kwa familia ya marehemu. Mwenyezi Mungu amlaze marehemu mahali pema peponi, Amina
Asante,
Katibu
Fatma Al-Tamim Mkudde
No comments:
Post a Comment