ANGALIA LIVE NEWS

Monday, December 30, 2013

TAZAMA ILIVYOKUWA KWENYE KUMBUKUMBU NA DU YA KUMUOMBEA MEREHEMU SAJUKI


Jana imefanyika dua na kumbukumbu ya kumuombea Sajuki ambayo wasanii mbalimbali wa maigizo walienda kwa ajili ya dua hiyo wakiongozwa na mke wa marehemu Sajuki aitwae Wastara,Hizi ni baadhi ya picha zikiwaonyesha wakiwa makaburini kwenye dua hiyo.
Mke wa Sajuki akipata ukodak na marafiki
Credit:Bossngassablog.

No comments: