Sikujua kama jeshi la tanzania kuna department ya forensic investigation...hii ndio engine ya jeshi lolote makini la polisi duniani..!.lakini sijawahi kuwaona au kusikia hiki kitengo kikifanya kazi tz..labda ni kitengo jina bt ukweli ni kuwa hakifanyi kazi..mwenye taarifa zaidi na japo ushahidi wa utendaji wao anielimishe ndugu zanguni!
Mdau, I am surprised that you´re surprised by this! Who do you think does the fingerprint analysis, document forgery investigation, financial crime investigation, cyber crime investigation, firearm matching to ammos fired at a crime scene? You can call the unit anything you want, but forensic work is virtually inseparable from a police department.
3 comments:

mdau UK

Udini unamtesa rais wetu, naibu IGP? cheo kipya kwa jeshi la polisi, haijawahi tokea. Tanzania ile ishapotea kwa udini, so sad
Post a Comment