ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, December 18, 2013

WATU 200 WANUSURIKA KUFA

Muonekano wa ndege ya Ethiopian Airline baada ya kutua kwa dharura.


Watu 200 waliokuwa wakisafiri kwa ndege ya Ethiopian Airline wanusurika kufa baada ya ndege kupitiliza hadi nje ya uwanja mdogo wa ndege wa Arusha baada ya kutua kwa dharura.

1 comment:

Anonymous said...

Viwanja vyetu vipo vidogo kwa sababu viongozi wa serikali yetu hawana vision. Sehemu kama Arusha inahitaji uwanja mkubwa sana kwa sababu ya kusapoti emergency landing kama hiyo na KIA unaitwa international airport wakati unayo runway moja tu. Mbona kuweka runway nyingine siyo ghali ni kuweka lami na kupanua uwanja mita kadhaa? Sasa kama kuna emergency kama hiyo watafanya vipi? VIONGOZI TULIONAO HAWANA UWEZO MKUBWA WA KUFIKIRI