
Bi. Kizee anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 70, ambaye jina lake halikuweza kufahamika kwa urahisi amenusurika kifo baada ya polisi kumnusuru kwa kudaiwa kukutwa akiwa uchi chumbani kwa mtu akifanya mambo yasiyoeleweka alfajiri ya leo Ijumaa Januari 31,2014

Bi. Kizee akiwa kwenye gari la polisi baada ya kuokolewa na polisi kutoka kwa wananchi wenye asila kali mara tu ya kukutwa kwenye chumba. Mashuhuda wa mwanzo wanasema Bibi huyo amekutwa akitapatapa bila kujua la kufanya huku mwili wake ukiwa Uchi na nguo zake zikiwa pembeni kitendo kinachopelekea kusadikiwa kwamba Bibi huyu ni mchawi wakati wengine wakisema wasubili taarifa ya Polisi.

Polisi wakiondoka eneo la tukio wakiwa na Shuhuda mmoja aliyedai alikuwa miongoni mwa watu waliomkurupusha bibi huyo chumbani.

Wakielekea kituo cha cha polisi cha Bukoba Mjini leo asubuhi.

Bibi huyo akiwa kwenye ulinzi mkali baada ya kufikishwa kwenye kituo kikuu cha polisi mjini Bukoba

PICHA ZOTE NA BUKOBAWADAU BLOG
14 comments:
hicho chumba alichokutwa ni cha mpangaji wa kiume au wa kike, kama ni wa kiume bibi alikuwa anataka mavituz. chezea bukoba, jasiri haachi asili!
Huyu bibi inawezekana alikosea chumba kutoka na ugonjwa wa kusahau (alzheimer's disease) unaosababishwa mostly na uzee.
Huyu msemaji wa pili nakubaliana naye kabisa.. huyu bibi inawezekana hakuwa anajua alipo.....kama ni kwake au kwa mtu mwingine..lakini kutokana na tabia za watu kutokuwa makini katika kuuliza shida za watu basi,wanakimbilia kuwaita watu wahanga au wezi....angalia huyo jamaa hapo juu,kakimbilia kusema utupu pasipokuwa na uhakika na anachokisema. Sasa hebu mtu kama huyo akukute unakojoa tu...atakwenda kuandika uwongo....Watanzania wengine bwana!!!!noma
Watanganyika ondokaneni na tabia za kishirikina kwa kuwaua au kuwasingizia wazee wenu uchawi na kuwateketeza kwa moto. Someni comment 2.
Mdau wa pili nakubaliana na wewe 100%. Bongo wazee wetu wengi wamepoteza maisha kutokana na kuhisiwa wachawi. Kwa kweli inasikitisha sana Tanzania katika karne hii ya 21 bado tuna amini uchawi na ushirikina, na kutotambua hii process of aging is absolutely insane....
Hivi watu hawajui kama kuna magonjwa ya akili?
Could be suffering from acute confusional state secondary to infection, please send her to hospital for investigtions and urgent treatment. Dementia is a likely predisposing factor in her case.
Kweli wazee wengi wanaosingiziwa uchawi si wachawi kweli wanasumbuliwa na ugonjwa wakusahau Alzeimer disease kama mdau alivyosema. Badala ya kuwapiga wawapeleke hospitali kuchekiwa kwanza. Elimu ya kutosha inatakiwa itolewe Tanzania kutambua tatizo hilo.
Wahaya mnajurikana mpaka mkizeeka hamuchi mchezo went mchafu mtakamatwa kila siku na ungo zenu kudondoka kazi kuroga tu
Heee huyu si bibi yake nanilii? Shoga tuma hela umkomboe bibi yako polisi na karne hii jamani tujifunzeni kuwanga kumepitwa na wakati mtaazirika kila siku ,heheheeyaaa
We uliyetoa comment ya mwisho (at 2:02 PM) acha kutukana makabila ya watu, si ustaarabu huo. Wewe na commenter wa kwanza mmechafua hali ya hewa. Nawashauri muangalie mifano ya comment nyingine hapa jinsi zilivyoenda shule mjifunze. Ni ushauri wa bure tu.
Hili tatizo la imani za kishirikina limejaa nchi nzima Tanzania na kweli wazee wengi wamepoteza maisha yao hivi hivi tu kwa sababu ya ujinga (ignorance) ulioshamiri kwenye jamii yetu. Tunaitaji jitihada mpya (new initiatives) za kuelimisha jamii yetu kuepukana na hizi imani potofu. Labda wananchi mnaoishi nje ya nchi (diaspora) msaidie kuchangia mikakati mipya ya kuhamasisha jamii.
BIBI YAKE BINTI FUDENGE HUYOOO MTAANGUKA WENGI NA BADO.
wahaya ndo zao hizi hawajali heshima zao za uzeeni na bibi kichawi kweli hichi kili nirogea mjuku wangu akakosa kwenda uingereza kufanya phd yake.
CHAMBU KARANGA CHAMBUA CHAMBU BIBI ANACHAMBUA BAHATI MBAYA KASIKWA NA UCHAWI UWIIIIIIII YESU WANGU
Post a Comment