Sasa hivi Gazeti la Raia Mwema lipo hewani (www.epapertz.com) na mengine yapo njiani kuja katika uwanja huu mpya.
Kwa wewe ulioko nje ya nchi itakuwa vema kama utapata taarifa za huku kwenu kupitia njia hii, mbali na habari za mitandao ya tovuti. Pia kwa ujumla unaombwa usaidie kuwapa taarifa ndugu wengine walioko ughaibuni na ndani ya nchi wasipitwe na mambo ya huku nyumbani.
Wasalaam

Lugano Uli Mbwina
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake