ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, January 12, 2014

MWANADMV LIBE ATOA MKONO WA POLE KWA WAZAZI WA ZAINAB NYUMBANI KWAO UKONGA

 Ndugu, jamaa na marafiki waliojumuika pamoja siku ya Jumatano Jan 8, 2014 siku MwanaDMV Libe (hayupo pichani) alipoenda kutoa mkono wa pole kwa wafiwa
 MwanaDMV Libe (Tshirt nyeusi waliosimama) katika picha ya pamoja na Mzee Buzo(wa kwanza kushoto waliosimama) baba ya marehemu siku ya Jumatano Jan 8, 2014 Libe alipofika nyumbani kwa wafiwa kutoa mkono wa pole.
 MwanaDMV Libe na katibu wa tawi CHADEMA DMV akitoa mkono wa pole kwa wafiwa siku ya JUmatano Jan 8, 2014 alipofika nyumbani kwao Ukonga, Dar es Salaam.
MwanaDMV Libe akitoa mkono wa pole kwa mdogo wa marehemu siku ya Jumatano Jan 8, 2014.alipofika nyumbani kwa wafiwa Ukonga, Dar es Salaam.

No comments: