Man Utd
Chelsea FC
Nyarugusu ikishirikiana na Kijiwe cha Ughaibuni inakukaribisha leo Jumapili Jan 19, 2014 kuangalia mpambano pamoja kati ya Chelsea FC na Man Utd kuanzia saa 4:30 qsubuhi (10:30am ET)
Address 6200 Ager Rd
Hyattsville, MD 20783
Kutakua na chapati na supu na baadae pilau baada ya gemu karibuni wote
ukipata taarifa hii muambie na mwenzio
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake