Mapacha wakikuwa watakuwa mamodel ukipitia picha unaweza kujifunza kitu
Huyu akikuwa ni mcheza Rugby
Hapa wanyuma akikuwa atakuwa Dr na wambelea Prof.
Hapa hata wewe unajua akikuwa atakuwa nani
Huyu nae habari ndiyo hii live bila chenga unaweza kujua tu.
Huyu akikuwa atakuwa reporter
Na huyu akikuwa atakuwa padri
Akikuwa atakuwa Actress
Engineer wa kesho huyo
Huyu akikuwa hata kuwa bartender
Akikuwa atakuwa judge
Akikuwa atakuwa Nurse
Hapa ndiyo Sociology wetu
No comments:
Post a Comment