Thursday, January 16, 2014

PATA TASWIRA ZA ULALAJI WA WATOTO NA UNAWEZA KUJIFUNZA KITU

Mapacha wakikuwa watakuwa mamodel ukipitia picha unaweza kujifunza kitu
Huyu  akikuwa ni mcheza Rugby
Huyu nae akikuwa atakuwa comedian 
Hapa wanyuma akikuwa atakuwa Dr na wambelea Prof.
Hapa hata wewe unajua akikuwa atakuwa nani
Huyu nae habari ndiyo hii live bila chenga unaweza kujua tu.
Huyu akikuwa atakuwa reporter 
Na huyu akikuwa atakuwa padri
Akikuwa atakuwa Actress 
Engineer wa kesho huyo 
Huyu akikuwa hata kuwa bartender 
Akikuwa atakuwa judge 
Akikuwa atakuwa Nurse 
Hapa ndiyo Sociology wetu 

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake