Quarterback Russell Wilson #3 wa Seattle Seahawks akisherehekea ushindi na kombe la Vince Lombardi baada ya ushindi wa 43-8 dhidi ya timu ya Denver Broncos kwenye Super Bowl XLVIII iliyochezewa uwanja wa MetLife Stadium siku ya Jumapili February 2, 2014 mji wa East Rutherford jimbo la New Jersey.
MVP Malcolm Smith #53 wa Seattle Seahawks akisherehekea ushindi na kombe la Vince Lombardi baada ya ushindi wa 43-8 dhidi ya timu ya Denver Broncos kwenye Super Bowl XLVIII iliyochezewa uwanja wa MetLife Stadium siku ya Jumapili February 2, 2014 mji wa East Rutherford jimbo la New Jersey.
Russell Wilson #3 wa Seattle Seahawks akisherehekea ushindi na kombe la Vince Lombardi baada ya ushindi wa 43-8 dhidi ya timu ya Denver Broncos kwenye Super Bowl XLVIII iliyochezewa uwanja wa MetLife Stadium siku ya Jumapili February 2, 2014 mji wa East Rutherford jimbo la New Jersey.
Quarterback Russell Wilson #3 wa Seattle Seahawks akifanyiwa mahojiano wakati akisherehekea ushindi wa 43-8 dhidi ya timu ya Denver Broncos kwenye Super Bowl XLVIII iliyochezewa uwanja wa MetLife Stadium siku ya Jumapili February 2, 2014 mji wa East Rutherford jimbo la New Jersey.
Kocha Pete Carroll wa Seattle Seahawks akiwa amebeba kombe la Super Bowl baada ya timu yake kushinda Super Bowl XLVIII iliyochezewa uwanja wa MetLife Stadium siku ya Jumapili February 2, 2014 mji wa East Rutherford jimbo la New Jersey.
Long snapper Clint Gresham #49 wa Seattle Seahawks akisherehekea ushindi wa 43-8 dhidi ya timu ya Denver Broncos kwenye Super Bowl XLVIII iliyochezewa uwanja wa MetLife Stadium siku ya Jumapili February 2, 2014 mji wa East Rutherford jimbo la New Jersey.
Kocha Pete Carroll wa Seattle Seahawksakisherehekea ushindi na mchezaji wake baada ya ushindi wa 43-8 dhidi ya timu ya Denver Broncos kwenye Super Bowl XLVIII iliyochezewa uwanja wa MetLife Stadium siku ya Jumapili February 2, 2014 mji wa East Rutherford jimbo la New Jersey.
Zach Miller #86 wa Seattle Seahawks akimwagia kocha Pete Carroll maji wanaoyotumia wachezaji kunywa kwenye robo ya 4 ya mchezo kwenye mechi ya Super Bowl XLVIII dhidi ya Denver Broncos iliyochezewa uwanja wa MetLife Stadium siku ya Jumapili February 2, 2014 mji wa East Rutherford jimbo la New Jersey..
Picha kwa hisani ya Zimbio
No comments:
Post a Comment